islamkingdomface islamkingdomtwitte islamkingdominstagram islamkingdompinterest islamkingdomtumblr islamkingdomreddit islamkingdomvk


semina ya dhana kuu katika uislamu

semina ya dhana kuu katika uislamu

1129

Mtume (S.A.W) amesema (Ikiwa Mwenyezi Mungu anataka kumfanyia mtu mema, humfanya afahamu dini hiyo)

Kujua semina ya dhana kuu katika uislamu:

Waweza kuishiriki bure katika semina hii.

Muda wa semina: semina itaanza kwa njia rasimu Tar. 4 Oktoba kwa 19 Oktoba kwa muda wa siku 16 zimegawika kwa masomo 16 na mtihani itakuwa siku 20 Oktoba

Utaratibu wa Kujiunga na Semina
Kujisajili kimtandao kwenye Link hii

  Telegram  Telegram - Apps on Google Play

Kufaidika na mada za Semina na kujifunza

Kujibu maswali ya mtihani kwa njia ya kimtandao

Kupokea Shahada inayo kubalika ya kufuzu semina inayo tolewa na tovuti MINBER na space chanels

Mada za Semina: Masomo 16

Mada za Semina: dhana kuu katika uislamu ina kusanya yafuatayo